Isaiah 41:6-7


6 akila mmoja humsaidia mwingine
na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!”

7 bFundi humtia moyo sonara,
yeye alainishaye kwa nyundo
humhimiza yeye agongeaye kwenye fuawe,
Humwambia yeye aunganishaye, “Ni kazi njema.”
Naye huikaza sanamu kwa misumari ili isitikisike.

Copyright information for SwhKC